Nafasi za kazi Rural Energy Agency (REA)

Nafasi za kazi Rural Energy Agency (REA)

elly2012

Member
Joined
Jul 17, 2012
Posts
12
Reaction score
0
Kuna mtu amenipa taarifa kuna nafasi za kazi zimetangazwa Rural Energy Agency (REA) hivi karibuni. kwa bahati mbaya hakumbuki hata gazeti ni la lini. nimejaribu kuangalia kwenye "website" ya REA kwa bahati mbaya pia hakuna taarifa zozote za kazi. Naomba msaada kwa yeyote mwenye taarifa kuhusiana na hiza nafasi za kani anijuze jamani.
 
Mtoa taarifa alinidokeza kuna kazi inayohusiana na "field" yangu (IT), sijajua kama wametangaza na "field" zingine. Laba kama kuna mtu ana taarifa zaidi atujuze.
 
Kuna mtu amenipa taarifa kuna nafasi za kazi zimetangazwa Rural Energy Agency (REA) hivi karibuni. kwa bahati mbaya hakumbuki hata gazeti ni la lini. nimejaribu kuangalia kwenye "website" ya REA kwa bahati mbaya pia hakuna taarifa zozote za kazi. Naomba msaada kwa yeyote mwenye taarifa kuhusiana na hiza nafasi za kani anijuze jamani.

Pole na mihangaiko ya kila siku ndugu yangu, wote tupo kwenye mapambano ya kutafuta ajira au kutafuta sehemu za kutufaa zaidi ya hizi tulizonazo.In short kila siku ni mapambano mpaka kieleweke.Tafadhari chukua tangazo hilo hapo na nakutakia kila la heri Mungu akufanikishe

RURAL-ENERGY-AGENCY.jpg
 
Back
Top Bottom