Kuna mtu amenipa taarifa kuna nafasi za kazi zimetangazwa Rural Energy Agency (REA) hivi karibuni. kwa bahati mbaya hakumbuki hata gazeti ni la lini. nimejaribu kuangalia kwenye "website" ya REA kwa bahati mbaya pia hakuna taarifa zozote za kazi. Naomba msaada kwa yeyote mwenye taarifa kuhusiana na hiza nafasi za kani anijuze jamani.