MAAFISA MIFUGO, UGAVI ETC.
=========
WAKALA WA VYUO VYA MAFUNZO YA MIFUGO (LITA)
Wakala wa Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo (LITA) ni Taasisi iliyo chini ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi. LITA ilianzishwa kupitia Wakala za Serikali Sura 245. LITA ilianzishwa tarehe 01, Septemba, 2011 na kutangazwa katika Gazeti la Serikali kupitia Notisi Na. 355 ya mwaka 2011. Dhumuni la kuanzishwa kwake ni kutoa mafunzo ya mifugo katika ngazi ya Astashahada na Stashahada, uzalishaji wa bidhaa za mifugo, kufanya utafiti na kutoa huduma za ushauri.
AFISA MIFUGO MSAIDIZI DARAJA II- NAFASI 2
1.0.2 MAJUKUMU YA KAZI
i. Kusimamia utunzaji wa Mifugo;
ii. Kuandaa taarifa za uzalishaji Mifugo;
iii. Kusimamia machunga ya mifugo katika kampasi za Wakala;
iv. Kusimamia afya za Mifugo na kuandaa taarifa za kila siku;
v. Kusimamia usindikaji wa mauzo ya mazao ya Mifugo;
vi. Kusimamia utunzaji wa Ndama;
vii. Kusimamia ujenzi na usafi wa mabanda ya Mifugo;
viii. Kusimamia uzalishaji na utuzaji wa malisho;
ix. Kuandaa mahitaji kwa ajili ya mafunzo kwa vitendo; na
x. Kufanya kazi zingine zitakazotolewa na viongozi.
1.0.3 SIFA ZA MWOMBAJI
Stashahada katika fani ya Afya na Uzalishaji wa Mifugo (Animal Health and Production)
kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali na awe amesajiliwa na Baraza la
Vetenari Tanzania. Awe na ufaulu wa angalau daraja la pili la juu