Nimeomba zile za MDA's & LGA's.... Now nasubiria faculty yangu nyingine yaan mpaka kieleweke mkuu..
Umefanikiwa kutuma mkuu?Mkuu posts zingine hazipo kwenye mfumo ila kwenye tangazo zipo.Kwa mfano kwenye tangazo HESLB ipo na wanataka watumishi 48 loan officers na idara zingine pia but ukifungua portal hamna, ipo nafasi 1 tu ya mtu wa procurement.
Inakuwaje hapo ktk kuomba na kutuma maombi?
Hawaeleweki kabisaaaa,bora kutuma kwa posta.Warudishe watu watume kwa posta
Huenda wakarekebisha leoMkuu posts zingine hazipo kwenye mfumo ila kwenye tangazo zipo.Kwa mfano kwenye tangazo HESLB ipo na wanataka watumishi 48 loan officers na idara zingine pia but ukifungua portal hamna, ipo nafasi 1 tu ya mtu wa procurement.
Inakuwaje hapo ktk kuomba na kutuma maombi?
Hawaeleweki kabisaaaa,bora kutuma kwa posta.Warudishe watu watume kwa posta
MmeanzPraise & worshipNani kama mama? Wazee wa praise and worship
Hapana mkuu,vip ww? Changamoto ni kwamba kwenye tangazo lililotoka ajira zimo kadhaa lakini kwenye mfumo hazipo.umefanikiwa kutuma mkuu?
Hebu jaribu kuingia ajira portal halafu bila ya kulog in shuka chini utakuta kazi zimewekwa kwa kada.Hapana mkuu,vip ww? Changamoto ni kwamba kwenye tangazo lililotoka ajira zimo kadhaa lakini kwenye mfumo hazipo.
Mimi hua nasign kwa pdf editor. Inaokoa muda na pesa.Hivi kwenye hizi application sehemu ya kusign ukitumia stylus pen si sawa, sio ile biashara mara printing then usign na mkono?
Asante sana mkuu ubarikiwe sana ngoja nipambane.Hebu jaribu kuingia ajira portal halafu bila ya kulog in shuka chini utakuta kazi zimewekwa kwa kada.
Ingia katika kada inayohusika na mikopo. Probably bank, account etc.
Kuhusu steps za kuapply:
Step 1 uwe na akaunti ajira portal ambayo itakua na taarifa zako kutokea NIDA, vyeti certified na picha.
Step 2 ni kuangalia vacancy unayoweza apply. Click apply utakuta uwanja wa kuweka barua yako kama attachment. Utaiweka barua yako ambayo utakua umeisign na kuupload.
Ukicheki kwenye 'My applications' utaona kua umeshaapply.
napenda kulima kweli ila ninachoogopa ni kutumia nguvu zangu na jasho langu kulima harafu bei waje kunipangia watu wa mjini....inauma sanaNjoo tulime mpunga huku mlimba
Basi nenda zanzibar hutotumia jasho lako watu watatoka wao jasho kwa ajili yako.napenda kulima kweli ila ninachoogopa ni kutumia nguvu zangu na jasho langu kulima harafu bei waje kunipangia watu wa mjini....inauma sana
Mwaka huu mwisho kukaa kitaa mwananguNimeomba zile za MDA's & LGA's.... Now nasubiria faculty yangu nyingine yaan mpaka kieleweke mkuu..
For ALLAH almighty,, Inshallah 🙏🙏Mwaka huu mwisho kukaa kitaa mwanangu
InshaallahFor ALLAH almighty,, Inshallah [emoji120][emoji120]
Ukifanikiwa leta mrejeshoAsante sana mkuu ubarikiwe sana ngoja nipambane.
unajisajili unaweka taarifa zako kisha unaweka vyeti vya elimu ambavyo vimethibitishwa na mwanasheria. NB: namba ya NIDA ni lazima uwe nayo kuomba kazi huko, kwenye suala la barua ndio unaandika pia then unascan na kuupload mule muleHongera mkuu keep it up Mungu akutendee.Hatua za kuomba huko ajira portal zipoje?Maana tulizoea kuandika barua na viambatanisho then tunatuma posta