Nafasi za kazi serikalini

Nafasi za kazi serikalini

Hivi kwenye hizi application sehemu ya kusign ukitumia stylus pen si sawa, sio ile biashara mara printing then usign na mkono?
Nimeomba zile za MDA's & LGA's.... Now nasubiria faculty yangu nyingine yaan mpaka kieleweke mkuu..
 
Mkuu posts zingine hazipo kwenye mfumo ila kwenye tangazo zipo.Kwa mfano kwenye tangazo HESLB ipo na wanataka watumishi 48 loan officers na idara zingine pia but ukifungua portal hamna, ipo nafasi 1 tu ya mtu wa procurement.
Inakuwaje hapo ktk kuomba na kutuma maombi?

Hawaeleweki kabisaaaa,bora kutuma kwa posta.Warudishe watu watume kwa posta
 
Umefanikiwa kutuma mkuu?
 
Huenda wakarekebisha leo
 
Hapana mkuu,vip ww? Changamoto ni kwamba kwenye tangazo lililotoka ajira zimo kadhaa lakini kwenye mfumo hazipo.
Hebu jaribu kuingia ajira portal halafu bila ya kulog in shuka chini utakuta kazi zimewekwa kwa kada.

Ingia katika kada inayohusika na mikopo. Probably bank, account etc.

Kuhusu steps za kuapply:

Step 1 uwe na akaunti ajira portal ambayo itakua na taarifa zako kutokea NIDA, vyeti certified na picha.

Step 2 ni kuangalia vacancy unayoweza apply. Click apply utakuta uwanja wa kuweka barua yako kama attachment. Utaiweka barua yako ambayo utakua umeisign na kuupload.

Ukicheki kwenye 'My applications' utaona kua umeshaapply.
 
Asante sana mkuu ubarikiwe sana ngoja nipambane.
 
napenda kulima kweli ila ninachoogopa ni kutumia nguvu zangu na jasho langu kulima harafu bei waje kunipangia watu wa mjini....inauma sana
Basi nenda zanzibar hutotumia jasho lako watu watatoka wao jasho kwa ajili yako.
kwa kutumia tu VUTU utalipiwa kila kitu
 
Hongera mkuu keep it up Mungu akutendee.Hatua za kuomba huko ajira portal zipoje?Maana tulizoea kuandika barua na viambatanisho then tunatuma posta
unajisajili unaweka taarifa zako kisha unaweka vyeti vya elimu ambavyo vimethibitishwa na mwanasheria. NB: namba ya NIDA ni lazima uwe nayo kuomba kazi huko, kwenye suala la barua ndio unaandika pia then unascan na kuupload mule mule
 
Back
Top Bottom