kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Chekini mkeka huo.
Sasa me nina connection gani?Wape na connection Kabisa kuwapatia tangazo tu haitoshi
Kwani mwenzangu Hadi Leo hujapata tu kazi.. huko utumishi wanasemaje kwaniSasa me nina connection gani?
Hapa mwenyewe natafuta connection
Wewe umepata?Kwani mwenzangu Hadi Leo hujapata tu kazi.. huko utumishi wanasemaje kwani
Nipo tu mkuu, sijaitwa Interview yoyote nipo Huku Chaka nalimaWewe umepata?
Nami naskilizia nilizoitwa oral..otherwise hatuna tofautiNipo tu mkuu, sijaitwa Interview yoyote nipo Huku Chaka nalima
Bora ww mwenzangu, sijaitwa hata Written this currentNami naskilizia nilizoitwa oral..otherwise hatuna tofauti
Mkuu mpaka leo hawajakujibu aiseeeWakuu wekeni na sample za maswali ya utumishi kwa kada ya port operations