Nafasi za kazi TPA

Nafasi za kazi TPA

Cute sall

Member
Joined
Dec 1, 2022
Posts
15
Reaction score
21
POST SECURITY ASSISTANT – 5 POST
POST CATEGORY(S) HR & ADMINISTRATION
LEGAL
EMPLOYER Tanzania Ports Authority (TPA)
APPLICATION TIMELINE: 2022-03-29 2022-04-11
JOB SUMMARY NA

DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.To assist in preparation of roster and supervises Security guards for general security services, port movement control, and escort;
ii.To protect cargo from malicious damage, theft and pilferage;
iii.To assist the Security officers on day to day duties;
iv.To ensure secure environment at their point of duty;
v.To supervise security guards; and
vi.To perform any other related duties as may be assigned time to time by Supervisor.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Holder of Certificate of Secondary Education Examination (CSEE), Certificate in Law, Certificate in Criminology, Certificate in Law Enforcement, Certificate in Business Administration, Certificate in Human Resource Management, Certificate in Public Administration, Certificate in Information Communication Technology,

REMUNERATION TPGS 4

Tangu zitangazwe nafasi hizo aliyeriport kazini ni mmoja tu hadi sasa jana nimepita bandari nikauliza nimeambiwa mlipeleka mtu mwengine mmoja pamoja Security Guard 11 ila hadi leo bado hawapo kazini wamalizieni hao Security Assistant watatu ibaki kazi kwao Bandari na watumishi wao waweze kuendeleza semina elekezi kwa pamoja

Kama hamna watu wenye sifa zitangazeni upya kama mnavyofanya taasisi nyingine vijana wenye sifa waombe.

Wako Mzalendo
Tanzania yetu maendeleo bandari yetu
Asante
 
Inabidi walete hao security assistant waliobakia either kutok katika Data base yao au watangaze Upya kama hawapo kabisa ili Watanzania waombe kibari kisipite bure zikaipita hewani hewani
 
Taarifa zipo na ni Imani yangu linafahamika kikubwa kuchungulia Placement kila muda zitokapo Utumishi hawewezi kuchikichia hizo juu kwa juuq🙏
Nimeuliza leo hapa ofisini kuwa Utumishi wanazikumbuka hizo nafafasi jibu Ni kuwa zinakumbukwa
 
tatizo ni nini au kuna watu wameenda kusoma hivyo vyeti waje waunganishiwe
 
Kwahiyo lazima watatoa majina au vipi?
Ndiyo watayatoa kivyovyote mana hapa bandari bado mahitaji ni mengi mno pili wale wote walioitwa hawaja anza kazi hadi leo. Bandari inahitaji kufanya semina elekezi kwa watumishi wapya wote kwa pamoja hapa anaesubiriwa ni utumishi tu
 
tatizo ni nini au kuna watu wameenda kusoma hivyo vyeti waje waunganishiwe
Tatizo ni utumishi wanatakiwa wawapeleka hao watu na kuwakabidhi bandari. Hapa bandarini kwa sasa ni ngumu kuunganishiwa vibari vyote vipo utumishi vya ajira mpya
 
Bado bandari inawadai utumishi watu hao waliobakia kulingana na kibali kilivyokuwa kimetoka na kinatupiwa macho mno hizo nafasi kutokana kibali kilikuwa wazi kwako katibu mkuu utumishi uupige mwingi nipo hapa likizo ya kunyonyesha
 
Tatizo ni utumishi wanatakiwa wawapeleka hao watu na kuwakabidhi bandari. Hapa bandarini kwa sasa ni ngumu kuunganishiwa vibari vyote vipo utumishi vya ajira mpya
Kama zipo na zZinatambulika Utumishi ni jukumu lao kupeleka hao watu
 
Bado bandari inawadai utumishi watu hao waliobakia kulingana na kibali kilivyokuwa kimetoka na kinatupiwa macho mno hizo nafasi kutokana kibali kilikuwa wazi kwako katibu mkuu utumishi uupige mwingi nipo hapa likizo ya kunyonyesha
Nakumbuka hizi chance nilishawahi zungumzia huko nyuma kwenye Uzi tofauti basi watazijaza hivi karibuni
 
Ndiyo watayatoa kivyovyote mana hapa bandari bado mahitaji ni mengi mno pili wale wote walioitwa hawaja anza kazi hadi leo. Bandari inahitaji kufanya semina elekezi kwa watumishi wapya wote kwa pamoja hapa anaesubiriwa ni utumishi tu
aseeh kweli utumishi wanazingua sana
 
Nakumbuka hizi chance nilishawahi zungumzia huko nyuma kwenye Uzi tofauti basi watazijaza hivi karibuni
Natafakari tu kwanini kunakuwa na ucheleweshaji ,au tuseme watanzania hawana elimu hiyo inayotakiwa?
 
Au bajeti ndio shida, maana ata matangazo ya ajira ni shuhuli nafasi zinatangazwa moja moja
Kibali kimeshatoka wamewafanyia watu usaili wamepeleka nusu bado watu wengine kama zimpotea mamlaka husika zifuatilie
 
Natafakari tu kwanini kunakuwa na ucheleweshaji ,au tuseme watanzania hawana elimu hiyo inayotakiwa?
Wapo wengi sana kama wamekosa watu wazitangaze upya bandari hapa kuna uhaba mkubwa mno kibali kilichotangulia kikikamilika fulsa nyingine zinafunguka siyo waombe nyingine wakati za kwanza hazijakamilika
 
Kweli aseeh na watu wapo mtaani hawana kazi tu
 
Back
Top Bottom