Nafasi za kazi TPA

Nafasi za kazi TPA

Ndiyo watayatoa kivyovyote mana hapa bandari bado mahitaji ni mengi mno pili wale wote walioitwa hawaja anza kazi hadi leo. Bandari inahitaji kufanya semina elekezi kwa watumishi wapya wote kwa pamoja hapa anaesubiriwa ni utumishi tu
Watu wameanza kazi mwezi wa saba tarehe 20 akiwemo mdogo wangu [emoji23]
 
Back
Top Bottom