π’ TANGAZO LA AJIRA ABU DHABI β UAE
πΉπΏ CHAMA CHA MAFUNDI TANZANIA (CMT)
CMT inawatangazia mafundi wote fursa za ajira nchini Abu Dhabi
β οΈ MUHIMU SANA: Kigezo namba moja ni kuhakikisha umejiunga na mfumo wetu wa chama kupitia
www.cmt.co.tz .Kama bado hujajiunga hujachelewa bado jiunge leo na uombe kazi leo kwani mwisho wa maombi ni tarehe 9 / 11 / 2026.
π· NAFASI ZA KAZI:300
1. Fundi Rangi (Painter)
2. Fundi wa Nondo (Steel Fixer)
3. Seremala (Carpenter)
4. Fundi Mabomba (Plumber)
5. Msaidizi wa Kazi/Kibarua (General Helper)
6. Fundi Scaffolding (Scaffolder)
7. Mchomeleaji (Welder)
π° Mshahara: AED 1,450 kwa mwezi + Overtime.
β
Malazi, chakula, usafiri, bima ya afya na Emirates ID hutolewa na mwajiri.
π
Tarehe za Usaili: Novemba 9β11, 2026,Chuo Cha Veta Changβombe.
π Mkataba: Miaka 2.
π Kutuma majina: Ndugu Peter β Afisa Mahusiano Taifa, CMT.
Simu: +255 696 773 530
Cmt makao makuu : +255 65 366 3843
PAMOJA NA MAFUNDI TUNAIJENGA TANZANIA!
Credit: CLOUDS MEDIA