Nafasi za kazi Wilaya ya Serengeti

Nafasi za kazi Wilaya ya Serengeti

Serengeti DC

Member
Joined
May 21, 2022
Posts
5
Reaction score
5

s1.JPG
s2.JPG
s3.JPG
 
Nawapongeza sana uongozi wa wilaya kuja humu JF na kuunda account kwa ajili ya taarifa, natamani Halmashauri/wilaya zote zingefanya hivi Ila nawaomba kitu kimoja, muwasiliane na uongozi wa JF Ila muwe na Verified Account itapendeza sana.
 
Tunashukuru sana,Wazo lako nalifanyia Kazi Kwa haraka Sana.Tuko pamoja Mkuu.
Karibu Serengeti.
 
Nawapongeza sana uongozi wa wilaya kuja humu JF na kuunda account kwa ajili ya taarifa, natamani Halmashauri/wilaya zote zingefanya hivi Ila nawaomba kitu kimoja, muwasiliane na uongozi wa JF Ila muwe na Verified Account itapendeza sana.
Tatizo wilaya Nyingi hawana bajeti ya kufungua hizo account za JF
 
Back
Top Bottom