Serengeti DC
Member
- May 21, 2022
- 5
- 5
Safi sana 👏Nawapongeza sana uongozi wa wilaya kuja humu JF na kuunda account kwa ajili ya taarifa, natamani Halmashauri/wilaya zote zingefanya hivi Ila nawaomba kitu kimoja, muwasiliane na uongozi wa JF Ila muwe na Verified Account itapendeza sana.
Subiria Ajira za Kilimo zitatangazwa mkuuMimi naomba nafasi ya Afisa kilimo wa kujitolea katika Halmashauri ya Serengeti.
Nina shahada ya sayansi ya kilimo kutoka SUA
Tunashukuru sana,Wazo lako nalifanyia Kazi Kwa haraka Sana.Tuko pamoja Mkuu.Nawapongeza sana uongozi wa wilaya kuja humu JF na kuunda account kwa ajili ya taarifa, natamani Halmashauri/wilaya zote zingefanya hivi Ila nawaomba kitu kimoja, muwasiliane na uongozi wa JF Ila muwe na Verified Account itapendeza sana.
Naomba Tuandikie Barua kisha tuma kwenye Hii Barua pepeMimi naomba nafasi ya Afisa kilimo wa kujitolea katika Halmashauri ya Serengeti.
Nina shahada ya sayansi ya kilimo kutoka SUA
Shukrani sana mkuu, nalifanyia kazi jambo hilo.
Haya kijana wa sUA wa General AgricultureShukrani sana mkuu, nalifanyia kazi jambo hilo.
Ndo akili hyoNiombe udereva hapa nikifanikiw kupata naomba transfer kwenda kwenye taaluma yangu.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tatizo wilaya Nyingi hawana bajeti ya kufungua hizo account za JFNawapongeza sana uongozi wa wilaya kuja humu JF na kuunda account kwa ajili ya taarifa, natamani Halmashauri/wilaya zote zingefanya hivi Ila nawaomba kitu kimoja, muwasiliane na uongozi wa JF Ila muwe na Verified Account itapendeza sana.
Hamna Cha bajeti mkuu mbona Personal wanafungua,, itashindikana Organization..?Tatizo wilaya Nyingi hawana bajeti ya kufungua hizo account za JF
Inashindikana mkuu maana mpaka baraza la madiwani liidhinishe posho ya nauli na kazi ya ufunguzi wa accountHamna Cha bajeti mkuu mbona Personal wanafungua,, itashindikana Organization..?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Inashindikana mkuu maana mpaka baraza la madiwani liidhinishe posho ya nauli na kazi ya ufunguzi wa account
[emoji1][emoji1][emoji1]Inashindikana mkuu maana mpaka baraza la madiwani liidhinishe posho ya nauli na kazi ya ufunguzi wa account