Nafasi za kazi Wonderwell Daycare and Nursery School

Nafasi za kazi Wonderwell Daycare and Nursery School

Dodo86

Member
Joined
Oct 23, 2018
Posts
99
Reaction score
83
Uongozi wa Wonderwell Daycare and Nursery School Daycare iliyopo Mikocheni unawatangazia nafasi za kazi kwa walimu wakike waliobobea kwenye taaluma ya makuzi ya watoto.

Shule ni mpya na Usaili utafanyika kuazia jumatatu, mwalimu afike shuleni akiwa na nakala za vyeti vya kitaaluma na wasifu wake.


KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA NAMBA:- +255 749 928 289
 
Back
Top Bottom