secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Elfu tano kwa siku itanitosha sana, mbona Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa wanalipwa buku mbili kisa uchawa na wanaridhika!Kila la khery
Labda wanapapaswaElfu tano kwa siku itanitosha sana, mbona Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa wanalipwa buku mbili kisa uchawa na wanaridhika!
Hapo sijajua kwa kweli.Labda wanapapaswa
Acha unafiki πHapo sijajua kwa kweli.
Hahaha π, kwa nini?Acha unafiki π
Hamna subHatimaye nimepata kazi
Chabaa the famous ππUkileta na wenzio kumi.....πππ
View attachment 3375353
Sasa hela hataki hata kuja town pia hatakiπππChabaa the famous ππ
Wanaenjoy wenyewe na maisha yao, huwa nacheka sana vituko vyake na Dudukwee the intelligent man πSasa hela hataki hata kuja town pia hatakiπππ
NIMEKUTEXT WHATSAPP HATA MSG HUFUNGUI...EMAIL HUJIBU...Whatsapp ipo
Nafasi tayari zimejazwa boss. Ukisoma juu ya huu uzi tumeandika.Brother
NIMEKUTEXT WHATSAPP HATA MSG HUFUNGUI...EMAIL HUJIBU...
Ukileta na wenzio kumi.....πππ
View attachment 3375353
Nilivyosoma huu uzi picha yake ikanijia kichwaniSasa huyu handsome anahusikaje na uzi?.