Nafasi za kazi ya udereva wa pikipiki (2)

Papai Yule

Member
Joined
Jul 6, 2013
Posts
5
Reaction score
9
VIGEZO
1. Uzeofu wa miaka 1-5, Ajue aina zote za pikipiki.
2. Cheti cha ujuzi.
3. Leseni ya udereva. muhimu kuzingatia
4. Awe mwepesi kwenye mawasiliano.
5. Umri usiopungua miaka 25 -35
6. Wadhamini wanatakiwa watatu.

ZINGATIA
Tafadhali wasilisha barua ya maombi ya kazi na nyaraka ya wasifu (CV); Kupitia email: mazingirapacha@gmail.com

MENEJA,
MAPADA SOAP,
P. O BOX .7810,
DAR ES SALAAM.

Mwisho wa maombi ni 20/7/ 20223
 
Yaani unatoa kwa hesabu au unatoa kwa mkataba au unatafuta Watu wa kuwaajili?
 
Umri usiopungua 25yrs na usiozidi 35 yrs.
ukisema usiopungua 25-35yrs unaikosea sana taaluma ya hisabati
 
Halafu hakuna mwaka 20223, mbona una makosa mengi ya uandishi ndugu mwajiri?
 
Dereva pikipikI awe na cheti cha ujuzi? (experience)? 🥵🥵🥵 hii nayo ni hatari sana
 
Dereva pikipiki sio rahisi kupokea simu mara kwa mara. Usije ukampa presha kijana wa watu akapata ajali barabarani.

Otherwise uelezee huo uwepesi wa mawasiliano uweje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…