Nafasi za kazi ya ulinzi dar es salaam

Muogopeni Mungu wazee,huu unaofanya ni unyonyaji
 
Watu mnashangaa hio pesa hamjui watu walivyopigika kuna dogo mmoja alikuwa day worker hata sehemu ya kulala analala kwenye vibaraza alikuwa anatafuta sehemu ya kulinda usiku angalau awe anajilaza ndani ya gate.....

Watu mpo out of touch na uhalisia wa kitaa....
 
mitandao inawadanganya mkuu, waje mtaani waone watu wanalipwaje, viwanda vinalipaje.?

mtu anashangaa degree kufanya kazi hii, nawaalika ofisini waje waone degree holder kama wao wapo na wanaendesha maisha
 
mitandao inawadanganya mkuu, waje mtaani waone watu wanalipwaje, viwanda vinalipaje.?

mtu anashangaa degree kufanya kazi hii, nawaalika ofisini waje waone degree holder kama wao wapo na wanaendesha maisha
Sijui kama ni kuendesha maisha ila ndio uhalisia, hata wewe mwenye kampuni yako huenda ni end to mouth na ukicheleweshewa malipo huchelewi kuuziwa nyumba yako uliyoweka bond bank..

In short it's hard times..., maisha yamekuwa ndivyo sivyo na wabongo wengi ujira hautoshi ni mwendo wa kukopa mwezi huu ili ulipe madeni ya mwezi jana...
 
Upigaji hautokaa uishe bongo(Tz) hii!
*kwa hiyo Β£LA nnya mnayotoa, lazima muibiwe. use.ng.e jazz band tu huu! Unaendelea
Β»alisikika jamaa mmoja muuza genge, huko ndani soko la buguruni! Akiongea kwa gadhabu Akitokwa povu.
 
Hiyo 170k ni take home au ndio bado haijakatwa? Ndugu
 
Vijana hawaelewei uhalisia mkuu, matajiri wanatulipa kulingana na kima cha chini cha serikali kwenye sekta hizi....bado TRA bado uendeshaji nk,
 
Mimi nalipa 150,000 ila nakupa nyumba na mchana utapiga vibarua mashambani. Kazi(lindo) ni usiku kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi kumi na mbili alfajiri
mkuu tena hapo nalipa vizuri sana, ingia mtaani uliza watu wanalipwaj
 
Dah maisha haya, hivi atakua analinda usiku kucha? Baridi+mbu kwa 170kπŸ™„
Inasikitisha sana, hapo anaenda kibaruani mwezi mzima akisubiria hiyo laki na sabini kweli!!!
Bado hajaiachia familia, hawajaumwa, michango ya kifamilia, nauli.

Halafu kutana na viongozi hata kama aliishia std 7. Yuko kwenye V8, ghorofa Mbweni, vimada kama wote, watoto wanasoma nje. Nchi za kiafrika maisha ya viongozi na wananchi ni kama ardhi na mbingu!!!
 
Ngoja nifanye application..shida nauli kutoka msongola mpaka eneo la kazi @ 3000 *
Nyumbani mke anataka Kodi ya meza @10,000

Economic of scale inanigomea cc. Raisi wetu wa ma jobless pro max ndugu, Intelligent businessman
Ulinzi hapana mwanangu, yaani nilinde Mali na watu wakiwa wame lala πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜
 
HUo mshaara mdogo sana nyie huko askri mnamkodisha kwa laki 7500000 alafu yeye mnamlipa 170? Ndio maana wanawaibia wanalala mbele
 
Hii ni dhuluma, kwa mshahara huo kwanini walinzi wasiibe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…