J Johad New Member Joined Jan 2, 2023 Posts 3 Reaction score 4 Apr 24, 2025 #1 Nafasi za kazi: Watunza Bustani (02) Eneo la kazi: Dar es Salaam, Tanzania Majukumu: Kutayarisha na kutunza upandaji wa maua, mapambo, na nyasi. Kuripoti matengenezo yanayohitajika kwenye bustani. Kuweka eneo la bustani katika hali ya usafi na nadhifu. Kuhakikisha matumizi sahihi na uhifadhi wa vifaa na zana za kazi. Kufanya kazi nyingine zinazohusiana na hizi. Mahitaji: Uzoefu wa kutunza bustani angalau mwaka mmoja. Maarifa na ujuzi wa kilimo cha bustani. Maarifa ya matumizi mashine za kutunza bustani. Tuma maombi yako kupitia WhatsApp no: +255785171820 Mwisho wa kupokea maombi: 12 May 2025 Tarehe ya Mwisho: 27 Oct 2024.
Nafasi za kazi: Watunza Bustani (02) Eneo la kazi: Dar es Salaam, Tanzania Majukumu: Kutayarisha na kutunza upandaji wa maua, mapambo, na nyasi. Kuripoti matengenezo yanayohitajika kwenye bustani. Kuweka eneo la bustani katika hali ya usafi na nadhifu. Kuhakikisha matumizi sahihi na uhifadhi wa vifaa na zana za kazi. Kufanya kazi nyingine zinazohusiana na hizi. Mahitaji: Uzoefu wa kutunza bustani angalau mwaka mmoja. Maarifa na ujuzi wa kilimo cha bustani. Maarifa ya matumizi mashine za kutunza bustani. Tuma maombi yako kupitia WhatsApp no: +255785171820 Mwisho wa kupokea maombi: 12 May 2025 Tarehe ya Mwisho: 27 Oct 2024.
Cherecheche JF-Expert Member Joined Nov 16, 2024 Posts 4,851 Reaction score 9,372 Apr 24, 2025 #2 2024 mbona tushapita mkuu!
wakunyonya JF-Expert Member Joined Feb 5, 2024 Posts 994 Reaction score 2,433 Apr 25, 2025 #3 Tapeli la Fb limeamua kupanua office hapa Jf
O Omukisa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2024 Posts 1,561 Reaction score 3,122 Apr 25, 2025 #4 wakunyonya said: Tapeli la Fb limeamua kupanua office hapa Jf Click to expand... 🤣🤣🤣 Johad said: Tarehe ya Mwisho: 27 Oct 2024 Click to expand...
wakunyonya said: Tapeli la Fb limeamua kupanua office hapa Jf Click to expand... 🤣🤣🤣 Johad said: Tarehe ya Mwisho: 27 Oct 2024 Click to expand...
T Tongo Elamu JF-Expert Member Joined Apr 26, 2020 Posts 2,904 Reaction score 4,408 Apr 25, 2025 #5 Johad said: Nafasi za kazi: Watunza Bustani (02) Eneo la kazi: Dar es Salaam, Tanzania Majukumu: Kutayarisha na kutunza upandaji wa maua, mapambo, na nyasi. Kuripoti matengenezo yanayohitajika kwenye bustani. Kuweka eneo la bustani katika hali ya usafi na nadhifu. Kuhakikisha matumizi sahihi na uhifadhi wa vifaa na zana za kazi. Kufanya kazi nyingine zinazohusiana na hizi. Mahitaji: Uzoefu wa kutunza bustani angalau mwaka mmoja. Maarifa na ujuzi wa kilimo cha bustani. Maarifa ya matumizi mashine za kutunza bustani. Tuma maombi yako kupitia WhatsApp no: +255785171820 Mwisho wa kupokea maombi: 12 May 2025 Tarehe ya Mwisho: 27 Oct 2024. Click to expand... Mimi naitaka na nina ujuzi wa 10 years, cheti cha veta, Msc land scaping and management (usa) ila mshahara usipungue 3.5m net.
Johad said: Nafasi za kazi: Watunza Bustani (02) Eneo la kazi: Dar es Salaam, Tanzania Majukumu: Kutayarisha na kutunza upandaji wa maua, mapambo, na nyasi. Kuripoti matengenezo yanayohitajika kwenye bustani. Kuweka eneo la bustani katika hali ya usafi na nadhifu. Kuhakikisha matumizi sahihi na uhifadhi wa vifaa na zana za kazi. Kufanya kazi nyingine zinazohusiana na hizi. Mahitaji: Uzoefu wa kutunza bustani angalau mwaka mmoja. Maarifa na ujuzi wa kilimo cha bustani. Maarifa ya matumizi mashine za kutunza bustani. Tuma maombi yako kupitia WhatsApp no: +255785171820 Mwisho wa kupokea maombi: 12 May 2025 Tarehe ya Mwisho: 27 Oct 2024. Click to expand... Mimi naitaka na nina ujuzi wa 10 years, cheti cha veta, Msc land scaping and management (usa) ila mshahara usipungue 3.5m net.