Labda asie wajua nyie Wabantu. Labda kwa faida ya wana JF hawa jamaa wapo pale ILALA AMANA kwenye jengo la BOA bank, wao wapo ghorofa ya 4, Hawa ni kama madalali wanawatufatia masoko kampuni kutoka China kama SUNSHINE GYPSUM na nyinginezo,Na mishahara yao ni 200,000 na sio 500,000.Hivyo kwenye 200,000 hapo wakikata NSSF na tax inabaki kama 150,000 plus commission ya mauzo yako,Then ukiuza sana na wenyewe kuna package wanaingiza kama wabantu kutoka kwenye hiyo kampuni. Mwezi wa 10 mwaka huu waliwachukua vijana na kuwa recruit kama salesmen then wakawaahidi wata wa connect na kampuni ya SUNSHINE,Kumbe ilikua ni kamba tu,kwani wao walikua wanahitaji marketing research ya GYPSUM,Then wakawaambia vijana wafanye kwanza marketing research then watawaajiri,baada ya vijana kufanya marketing research wakawaacha kwenye mataa na kuwapotezea muda wao. ALL THE BEST kwa wote watakao apply