Nafasi za kazi zingatia

Nafasi za kazi zingatia

mwagomba

Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
6
Reaction score
0
WABANTU COMPANY LTD WANATANGAZA NAFASI ZA KAZI KWA WENYE TAALUMA YA SALES AND MARKETING
MSHAHARA 500000/= KWA MWEZI MWOMBAJI AWE NA UZOEFU WA KUTOSHA ,TUMA CV YAKO KUPITIA EMAIL rh@wabantu.com WAHI SASA
 
njaa zetu zitatuponza,mnataka kutumia nguvu za watu kujinufaisha kwa kuwatembeza juani?
 
WABANTU COMPANY LTD WANATANGAZA NAFASI ZA KAZI KWA WENYE TAALUMA YA SALES AND MARKETING
MSHAHARA 500000/= KWA MWEZI MWOMBAJI AWE NA UZOEFU WA KUTOSHA ,TUMA CV YAKO KUPITIA EMAIL rh@wabantu.com WAHI SASA
Labda asie wajua nyie Wabantu. Labda kwa faida ya wana JF hawa jamaa wapo pale ILALA AMANA kwenye jengo la BOA bank, wao wapo ghorofa ya 4, Hawa ni kama madalali wanawatufatia masoko kampuni kutoka China kama SUNSHINE GYPSUM na nyinginezo,Na mishahara yao ni 200,000 na sio 500,000.Hivyo kwenye 200,000 hapo wakikata NSSF na tax inabaki kama 150,000 plus commission ya mauzo yako,Then ukiuza sana na wenyewe kuna package wanaingiza kama wabantu kutoka kwenye hiyo kampuni. Mwezi wa 10 mwaka huu waliwachukua vijana na kuwa recruit kama salesmen then wakawaahidi wata wa connect na kampuni ya SUNSHINE,Kumbe ilikua ni kamba tu,kwani wao walikua wanahitaji marketing research ya GYPSUM,Then wakawaambia vijana wafanye kwanza marketing research then watawaajiri,baada ya vijana kufanya marketing research wakawaacha kwenye mataa na kuwapotezea muda wao. ALL THE BEST kwa wote watakao apply
 
nimeipenda sana hii. Yaan ss hv kila mahal ni utapel mtupu
 
Back
Top Bottom