Nafasi za kaziiiiiiii..........kwa first lady wenu wa 2015!!!!!!!!! Wahi sasa............!!!!!!!!!

Mie niko tayari kujitokeza kuwa mfanyakazi wako ila ninaomba unikubalie kufua nguo za ndani za mumeo na kumpikia chakula, kumuogesha na mengineo ili nikupunguzie uendelee na majukumu mengine. Hutajuta kwa huduma nitakayompatia.

karibu mrembo ila hizo kazi nitafanya mwenyewe, wewe utaosha vyombo, kufagia na kudeki
 
mm naomba kazi ya kukuogesha wewe, yaani hata mshahara we usinipe ila utaipenda kazi yangu, nina uzoefu wa kutosha.
 
Mimi na Heaven on earth tumeshakubali kuwa wafanyakazi wa ndani, kama uko tayari.... mshiko tu ndo hujasema.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…