Nafasi za kaziiiiiiii..........kwa first lady wenu wa 2015!!!!!!!!! Wahi sasa............!!!!!!!!!

Nafasi za kaziiiiiiii..........kwa first lady wenu wa 2015!!!!!!!!! Wahi sasa............!!!!!!!!!

Last edited by a moderator:
Unashangaa nini mrembo? In the serious note nimekukumbuka sana. Mwambie Mwalimu adake salam zake kutoka kwa M-baba aitwaye Kaizer, pia amesalimiwa na kina Filipo, PakaJimmy, Mzee wa Rula na Lily Flower.

Raha anazozipata mkeo Lady doctor nimejikuata napata wivu wa ghafla na kushangaa.

Salamu zimefika usikonde....ila huyu m baba yupo? Msalimie sana.....na wana ARUSHA woote....miss them ALL.

Wewe ndo nimekumiss kupita maelezo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom