Nafasi za kaziiiiiiii..........kwa first lady wenu wa 2015!!!!!!!!! Wahi sasa............!!!!!!!!!

Mdogo wangu mara hii ushaanza kulalamika kazi . Hebu jikaze ndugu yangu mbona mapema namna hii, hapo hujapta motto sasa ukishapata motto hiyo nyumba si itajaa wafanyakazi. Mmmmh haya ngoja niende kijijini nkakutafutie.
 
dada hata ungekuwa wewe ungeomba poo!!! Maana shemejio amejenga bonge la nyumba kama hekalu, halafu nje kuna garden kubwa, bado tunamifugo mabanda kama ma5 hivii hapo sijafua na kupika, sintakuwa cha upepo mwenzio
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…