Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
- Thread starter
-
- #61
yani Mamndenyi unamuuliza mumewe hajambo wakati hata hajui alipo sema anazuga tuu, hii ndio akaribia nitatoa Baraka kwa mwenyekiti ivunjwe hili Lady doctor asiendelee kuumia.
Am too old for this, nawaachia wenye vigezo mwaya!
maswala ya mshiko muulize Arushaone...... Halafu Heaven on earth ni wifi angu so, siwezi muajili labda unitafutie mwingine
hahaaa umenifurahishaje my wii asubuh asubuhi!!!!!
wii ana cheo chake,kimetulia tuli!!!!!!!!!!
Eli79 kazi za ndani hapana........Mimi na Heaven on earth tumeshakubali kuwa wafanyakazi wa ndani, kama uko tayari.... mshiko tu ndo hujasema.
figganigga mbona amenitaja hujaniona hapo juumbona Heaven on earth hujamtaja au humtaki?. kama vipi nami sikubali. mia
hahahaaa........! Wii cheo chako ni kile kile cha kuambatana nami kila kona,,,,,,, nakuambia utafaidi wewe.....!
yani Mamndenyi unamuuliza mumewe hajambo wakati hata hajui alipo sema anazuga tuu, hii ndio akaribia nitatoa Baraka kwa mwenyekiti ivunjwe hili Lady doctor asiendelee kuumia.
Lady doctor sikukuu tunaenda ufilipino na Bishanga tutakuletea wasaidizi wa kazi Mamndenyi mtoe kwenye list tutamwachia watoto
umri kuanzia miaka 18-40 kwa jinsia zote, kama upo tayari nione
kama kakutaja hapo sawa. vipi unaonaje, tumsaidie Lady doctor au tumtose?. miafigganigga mbona amenitaja hujaniona hapo juu
kama kakutaja hapo sawa. vipi unaonaje, tumsaidie Lady doctor au tumtose?. mia
...Tena wakichelewa nitaagiza wa ugaibuni tena waliohasiwa kwa upande wa house boy na wasichana wenye chongo.
Changamkieni before is too late.
umeongea point. ngoja tumsaidie sababu naamin ikulu ni sehemu takatifu. tutaenjoyje!!?. miatusimtose Lady doctor hata kwa dawa.......we angekutosa unadhani ungekuwa na Heaven on earth
Daah.......
hahaa chezea wii kuwepo katika kila ziara za raisi na mkewe,
Lady doctor dhubutu zako uniweke kuwa mjakazi wako, utakoma kuringa,
Kwa Bishanga mimi siyo mjakazi kihiiivyo, niko kimasilahi zaidi hata mkewe The secretary analitambua hilo.
Unashangaa nini mrembo? In the serious note nimekukumbuka sana. Mwambie Mwalimu adake salam zake kutoka kwa M-baba aitwaye Kaizer, pia amesalimiwa na kina Filipo, PakaJimmy, Mzee wa Rula na Lily Flower.