Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
- Thread starter
-
- #81
Ruttashobolwa nilitaka nimtia hasira tu Lady doctor aliko Arushaone nakujua,
kama uongo aje tupinge.
The secretary kuniachia mtoto tu, mbona imekaa njema sana tena utakuta kaongezeka hata kilo mbili nzima,
halafu ujue utaenda kula sikukuu peke yako kwa kuwa mumeo Bishanga wakati huo atakuwa
na majukumu ya kitaifa kwa hiyo na yeye nitakuwa namtunza.
kama kakutaja hapo sawa. vipi unaonaje, tumsaidie Lady doctor au tumtose?. mia
maswala ya package muone Arushaone mi kazi yangu ni kuajili tu
huyo atakuwa ni Arusha one sio Arushaone maana mumewangu kila kona ninae
huyo Ben Mugashe aje kwa ajili ya interview tarehe 34.07.2013 saa 9 alasiri bila kukosa.
huyu kaka angu sometime ananibore msipoangalia ikulu hamtaingia ohoooo!!!!!!!!!!
Raha anazozipata mkeo Lady doctor nimejikuata napata wivu wa ghafla na kushangaa.
Salamu zimefika usikonde....ila huyu m baba yupo? Msalimie sana.....na wana ARUSHA woote....miss them ALL.
Wewe ndo nimekumiss kupita maelezo
My wii mie mbona namba 1 supporter
mwambie tu na shem Arusha one
kaka ako hataki asitake lazima aungane na mimi tu
hajui kuwa ulaya atapaona kama kwa mangi muuza vocha?
Halafu wii hapo kwenye jina la shemejio hebu rekebisha kidogo huyo uliyemtaja sio yeye
natamani nizae haraka uje unilelee mwanangu
Wii nimesharekebisha nani hataki kwenda Ulaya....
Nisamehe bure first lady,The One and Only kwa Arushaone
natamani nizae haraka uje unilelee mwanangu
hahahaaa...... Ben Mugashe wahi hiyo tarehe.. Kabla wengine hawajakupiku