Nafasi za kaziiiiiiii..........kwa first lady wenu wa 2015!!!!!!!!! Wahi sasa............!!!!!!!!!

My wii mie mbona namba 1 supporter
mwambie tu na shem Arushaone

kaka ako hataki asitake lazima aungane na mimi tu

Nina swali moja tu kwako..Hivi babu yako mzee Asprin tangu awe moderator kwanini haji tena kututembelea hasa wakati huu wa ramadhani? ni hilo tu. Pia kina Paloma , amu na wenzao siwaoni mwaka sasa.
 
Last edited by a moderator:
Arushaone hivi hujui anakoshinda Asprin siku hizi? chungulia jukwaa la chini yuko kajaa tele,
eti anafanya riheso kwa ajili ya Madame B amewashtukia.
Nina swali moja tu kwako..Hivi babu yako mzee Asprin tangu awe moderator kwanini haji tena kututembelea hasa wakati huu wa ramadhani? ni hilo tu. Pia kina Paloma , amu na wenzao siwaoni mwaka sasa.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Nina swali moja tu kwako..Hivi babu yako mzee Asprin tangu awe moderator kwanini haji tena kututembelea hasa wakati huu wa ramadhani? ni hilo tu. Pia kina Paloma , amu na wenzao siwaoni mwaka sasa.

babu Asprin mie mwenyewe nilimtafuta sana
akanambia nizame hapo jukwaa la chini ntamkuta huko........

amu ndo ubize wa kuandaa mapochopo ya futari........

Paloma kwa sasa ni mama kijacho kwa taarifa nilopewa
shem sosoliso,hivo spidi ya kuja mtaani imepungua........
 
hahahaaa...... Ben Mugashe wahi hiyo tarehe.. Kabla wengine hawajakupiku
Basi nipeni Hints basi...interview ni practical? nije na vitendea kazi vya houseboy? Mama naomba unifanyie interview ww maana baba naona ni mkali sana yeye amfanyie interview housegirl tu...Arushaone mzee usiwe na wasiwasi mimi ni kijana safi niko hapa JF toka 2008 sijawahi patwa skendo na mke wa mtu wala nini na isitoshe am verified so sina madhara kabisa...
:A S-key::A S-key:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…