Nafasi za kaziiiiiiii..........kwa first lady wenu wa 2015!!!!!!!!! Wahi sasa............!!!!!!!!!

yaani mi nakupendeaga hapo tu my wii, natamani ndoa yenu ifungwe leo ili uwe wii original kabisaaCc: figganigga
mimi na Heaven on earth damu damu. anaye tuchelewesha kufunga ndoa ni Baba V. tushatuma maombi kwake siku nyingi lakini twaona kimya. hatoi tangazo la kufunga ndoa. sisi tupo tayari muda wowote. Tunacho kisubiri ni taratibu za kisheria kutoka kwa Baba V. mia
 
Last edited by a moderator:

pacha mimi nitakua nampepea
shem langu ili nikusaidie kumchunga
anapokua kwny mikutano asikonyeze mtu!!
 

pacha mimi nitakua nampepea
shem langu ili nikusaidie kumchunga
anapokua kwny mikutano asikonyeze mtu!!

sawa pacha, tena ladyfurahia kaniambia wala nisihangaike maana ndugu zangu mtanisaidia, tena amenionya nikitafuta h/g nitaibiwa mume, mi naona ni bora ndugu zangu mnisaidie sitaki tena watubaki
 
Last edited by a moderator:
utatuonaje!!!!! na wewe limbwata limekukolea kutwa kufungiwa ndani kupiga deki na kusonga ugali

jamani amu, hayo ni mapenzi tu na wala si limbwata
 
Last edited by a moderator:

kaka, mkono mtupu haulambwi la sivyo utasubiri sana
 
Last edited by a moderator:
Mie niko tayari kujitokeza kuwa mfanyakazi wako ila ninaomba unikubalie kufua nguo za ndani za mumeo na kumpikia chakula, kumuogesha na mengineo ili nikupunguzie uendelee na majukumu mengine. Hutajuta kwa huduma nitakayompatia.

utampa presha dada yangu bure nguo za ndani dah
 
vipi dada Lady doctor dada umempata maana napataje shida kila ninayemtokea anaogopa kuja kufanya kazi kwenye ndoa changa kama yenu tena vijana, ila nimemtuma hubby wangu kiwatengu kenda mtwara atakutumia mdada km hujapata
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…