TRamadhani
Member
- May 30, 2013
- 48
- 18
- Thread starter
-
- #21
ufadhili hawaznguı
unapata degree ya kımataıfa
karıbu sana
ufadhili hawaznguı
unapata degree ya kımataıfa
karıbu sana
Mimi nimetembelea website yao nimegundua masomo yao hayana mashiko ndugu!
Huo Umri huku kwetu ni kikwazo mana tunamaliza Form Six tukiwa na 23yrs and above wapi na wapi kuwa qualified na hizo Scholarship!!
Mimi nimetembelea website yao nimegundua masomo yao hayana mashiko ndugu!
Ni lugha ipi wanayotumia kufundishia huko uturuki? Kituruki au kiingereza?
kuna vyuo wanatumia English, vingne wanatumia Turkish na vingine Mchanganyiko
programme zao haziko poa jamani kama masters ya middle east politics una apply wapi hii masters ya african studies nimeona ubabaishaji bora nitafute 15million nikasome mba finance udsm kuliko ushuzi wa uturuki.
Watanzania mnaongoza kwa kudanganyana kwenye mitandao ya kijamii ila kama una akili zako huwez kusema hivyo
Wanatoa course zote inategemea na ufaulu wako katika vyuo bora vyenye ushindani kimataifa sio unaukua unaangalia upande mmoja tu najua wengi mnawaza kuhusu UDINI ndo maana Tanzania hatuendelei.
ok anyway karibun mnaotaka nipo napiga BSc. Mining Engineering sasa sijui unataka course gani mkuu
Samahani kwa niliowakosea ila katika hili halijanipendeza hata kidgo.
Mkuu sidhani kama ni kweli kuwa watu wanafikiria hivyo unavyohisi coz kuna mshkaji tulisoma naye O level ni Mkristo na kwasasa anasoma Turkey na ana muda mrefu tu mbona yuko huko.
Huo Umri huku kwetu ni kikwazo mana tunamaliza Form Six tukiwa na 23yrs and above wapi na wapi kuwa qualified na hizo Scholarship!!
usimcheke basi...nyie mmejiunga jf juzi tu afu unategemea age itakuwa sawa na wewe. Kwanza usimage shikamoo...watu tuna vyeo vyetu huku jf, seniour member unadhani mchezoHaha we ulichelewa shule!!
Mimi miaka 23 ndio nmehitimu degree ya kwanza
Form six,.nmemaliza nkiwa na 20...
Please,please jamani naomba wanaolewa haya mambo wanisaidie hili.Kwa mfano mimi nimemaliza kidato cha sita mwaka jana na nikachaguliwa kujiunga na chuo kikuu hapa Tz je mwaka huu naweza nikaomba iyo scholarship ya Turkey ili nihairishe chuo na nikaanze huko?nisaidieni