Nafasi za kusoma Uturuki (Turkey/Türkye) 2015

ufadhili hawaznguı
unapata degree ya kımataıfa
karıbu sana
 
Mimi nimetembelea website yao nimegundua masomo yao hayana mashiko ndugu!
 
samahani napenda kujua wanatoa degree au masters ya GEOMATCS?Nijuze mkubwa na kingne naomba uweke hyo link to weze kutumia
 
Huo Umri huku kwetu ni kikwazo mana tunamaliza Form Six tukiwa na 23yrs and above wapi na wapi kuwa qualified na hizo Scholarship!!

Unamaliza six ukiwa na 23yrs! Mbona mm nimemaliza nikiwa na 20 yrs
 
programme zao haziko poa jamani kama masters ya middle east politics una apply wapi hii masters ya african studies nimeona ubabaishaji bora nitafute 15million nikasome mba finance udsm kuliko ushuzi wa uturuki.
 
Kwa wale freshiers, I mean umetokea direct from bachelor degree, ts hard to get it!!
 
Mimi nimetembelea website yao nimegundua masomo yao hayana mashiko ndugu!

Watanzania mnaongoza kwa kudanganyana kwenye mitandao ya kijamii ila kama una akili zako huwez kusema hivyo
Wanatoa course zote inategemea na ufaulu wako katika vyuo bora vyenye ushindani kimataifa sio unaukua unaangalia upande mmoja tu najua wengi mnawaza kuhusu UDINI ndo maana Tanzania hatuendelei.
ok anyway karibun mnaotaka nipo napiga BSc. Mining Engineering sasa sijui unataka course gani mkuu

Samahani kwa niliowakosea ila katika hili halijanipendeza hata kidgo.
 
programme zao haziko poa jamani kama masters ya middle east politics una apply wapi hii masters ya african studies nimeona ubabaishaji bora nitafute 15million nikasome mba finance udsm kuliko ushuzi wa uturuki.

yes tafta hizo pesa ukasome mkuu halazimishwi mtu zaten nadhan watu wa ENGINEERING na MEDICINES gharama za masomo zipo juu pia bongo TECHNOLOGY ipo poooooor so ndo nadhan ni bora kusoma DEVELOPED COUNTRY kama TURKEY:smile-big: ila kwa hizo mambo hata Kigoma kasome tu mkuu.
 
Watanzania mnaongoza kwa kudanganyana kwenye mitandao ya kijamii ila kama una akili zako huwez kusema hivyo
Wanatoa course zote inategemea na ufaulu wako katika vyuo bora vyenye ushindani kimataifa sio unaukua unaangalia upande mmoja tu najua wengi mnawaza kuhusu UDINI ndo maana Tanzania hatuendelei.
ok anyway karibun mnaotaka nipo napiga BSc. Mining Engineering sasa sijui unataka course gani mkuu

Samahani kwa niliowakosea ila katika hili halijanipendeza hata kidgo.

Mkuu sidhani kama ni kweli kuwa watu wanafikiria hivyo unavyohisi coz kuna mshkaji tulisoma naye O level ni Mkristo na kwasasa anasoma Turkey na ana muda mrefu tu mbona yuko huko.
 
mimi pia nipo na washkaj zangu huku Turkey wakristo na hawatamani kurudi bongo
Tatzo naona hapo kweny comments watu wanashauriana hvyo kwa style hii Tanzania watu watakua wanalalamika ugonjwa mwingine kumbe wanaumwa ugonjwa mwingne
#######IDEAS ZA UDINI ZIMETAWALA SANA YANI MPAKA KERO DAH!!!!!!!!!!!!
 
Huo Umri huku kwetu ni kikwazo mana tunamaliza Form Six tukiwa na 23yrs and above wapi na wapi kuwa qualified na hizo Scholarship!!

Haha we ulichelewa shule!!
Mimi miaka 23 ndio nmehitimu degree ya kwanza
Form six,.nmemaliza nkiwa na 20...
 
usimcheke basi...nyie mmejiunga jf juzi tu afu unategemea age itakuwa sawa na wewe. Kwanza usimage shikamoo...watu tuna vyeo vyetu huku jf, seniour member unadhani mchezo
 
Please,please jamani naomba wanaolewa haya mambo wanisaidie hili.Kwa mfano mimi nimemaliza kidato cha sita mwaka jana na nikachaguliwa kujiunga na chuo kikuu hapa Tz je mwaka huu naweza nikaomba iyo scholarship ya Turkey ili nihairishe chuo na nikaanze huko?nisaidieni
 
Huwezi kutumia njia hio. Cha muhimu jifanye kama ujaanza chuo(tumia vyeti vya form six)...ishu iki-tick, unaacha zako hiyo chuo unasepa
 
Back
Top Bottom