Watanzania mnaongoza kwa kudanganyana kwenye mitandao ya kijamii ila kama una akili zako huwez kusema hivyo
Wanatoa course zote inategemea na ufaulu wako katika vyuo bora vyenye ushindani kimataifa sio unaukua unaangalia upande mmoja tu najua wengi mnawaza kuhusu UDINI ndo maana Tanzania hatuendelei.
ok anyway karibun mnaotaka nipo napiga BSc. Mining Engineering sasa sijui unataka course gani mkuu
Samahani kwa niliowakosea ila katika hili halijanipendeza hata kidgo.