Nafasi za kusoma Uturuki (Turkey/Türkye) 2015

Nafasi za kusoma Uturuki (Turkey/Türkye) 2015

Umri wengine umekwenda, vinginevyo ningelikuja kutafuta Bebegim 🙂

Vituruki vimebinuka vizuri tu. Nendeni huko Mkasome na kupakata, kazi na dawa.... heheheee.

Ngoja nijipange nikatembee tu Antalia na kucheza golf huko, pametulia sana na haswa Misosi, si mchezo.

Nguo pia za kumwaga ingawa bei zao hao jamaa, kiboko. Usafiri ni rahisi piakuja Tanzania.

Vipi mambo ya dini? Hakuna kulazimishana kuwa Die Hard wa kidini?

Asante kwa ku-share huu ujumbe wako. Usijali wanaokatisha tamaa na kutukana. Turkiye ipo juu sana kuzidi Tz.

Nendeni mkamtambue NYERERE wa Turkey, Mustafa Kemel ATATURK...

Atat%C3%BCrk-Foto%C4%9Fraflar%C4%B11.jpg


Watanzania mnaongoza kwa kudanganyana kwenye mitandao ya kijamii ila kama una akili zako huwez kusema hivyo
Wanatoa course zote inategemea na ufaulu wako katika vyuo bora vyenye ushindani kimataifa sio unaukua unaangalia upande mmoja tu najua wengi mnawaza kuhusu UDINI ndo maana Tanzania hatuendelei.
ok anyway karibun mnaotaka nipo napiga BSc. Mining Engineering sasa sijui unataka course gani mkuu


Samahani kwa niliowakosea ila katika hili halijanipendeza hata kidgo.
 
Back
Top Bottom