Mzee wa fact
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 246
- 228
Na huu ndiyo ukweli mchungu. Hizi nafasi zinatoka kimagumashi sana! Kujuana kwingi na janja janja za kutosha sana ndipo upate.hizo zinateuliwa, na ili uteuliwe lazima ufike bei elekezi au uwe na mkubwa mwenye uwezo wa kumkolomea mkurugenzi.
ukuu wa shule ya msingi kianzio 800,000
sekondari 1,000,000
umek 1,000,000
utaaluma, vifaa na makolokolo yote 3,000,000
na uafisa elimu wilaya ni 5,000,000
kama unategemea utateuliwa kwa utendaji kazi tu bila kupambania hizo nafasi utapata ukiwa na miaka 54.
JIONGEZE, baada ya kuupata utaanza kuupondea ingawa wadau wanakuchora tu
Connection zikojeNa huu ndiyo ukweli mchungu. Hizi nafasi zinatoka kimagumashi sana! Kujuana kwingi na janja janja za kutosha sana ndipo upate.
Usipokuwa na mtandao, utapiga chaki mpaka ushikwe na TB! Hakuna atakaye kuona. Mbaya zaidi hao wanao honga ili kupata hizo nafasi, baadhi yao hawana hata sifa za uongozi. Zaidi tu ya ukuda mwingi kwa walimu wenzao, majivuno, vitisho na kujipendekeza kwa wakubwa zao.
Ukweli mtupu na connection zikojehizo zinateuliwa, na ili uteuliwe lazima ufike bei elekezi au uwe na mkubwa mwenye uwezo wa kumkolomea mkurugenzi.
ukuu wa shule ya msingi kianzio 800,000
sekondari 1,000,000
umek 1,000,000
utaaluma, vifaa na makolokolo yote 3,000,000
na uafisa elimu wilaya ni 5,000,000
kama unategemea utateuliwa kwa utendaji kazi tu bila kupambania hizo nafasi utapata ukiwa na miaka 54.
JIONGEZE, baada ya kuupata utaanza kuupondea ingawa wadau wanakuchora tu
Connection ni za siri! Ukiingia kichwa kichwa unatapeliwa.Connection zikoje