Nafasi za madaraka elimu

Nafasi za madaraka elimu

Kuna chuo kipo Bagamoyo kinatwa Adem. Kinafundisha masuala ya uongozi kwenye sekta ya elimu. Kinatoa Diploma na Certificate kama sijakosea.

Baada ya hapo walimu hupata promotion. Pia wengi wa hizo kazi ni waliowahi kuwa wakuu wa shule na kuonesha performance.

Pia wapo walimu wa kawaida ambao wamekuwa promoted baada ya kuongeza elimu na kufanya vizuri kwenye kazi zao. Mimi sio mwalimu ila kuna walimu wengi sana kwenye ukoo. Wengine wanavyo hivyo vyeo.

Kuna wengine sasa ni maafisa utendaji kata na maafisa tarafa lakini walianzia ualimu. Lakini ni baada ya kujindeleza.
 
Nafasi nyingi za kimadaraka Kama maafisa elimu ,( taaluma,msingi,sekondari. etc) maafisa elimu mikoa, wilaya ni nafasi za uteuzi kwa watumishi wenye sifa waliopo kazini
 
hizo zinateuliwa, na ili uteuliwe lazima ufike bei elekezi au uwe na mkubwa mwenye uwezo wa kumkolomea mkurugenzi.

ukuu wa shule ya msingi kianzio 800,000
sekondari 1,000,000
umek 1,000,000
utaaluma, vifaa na makolokolo yote 3,000,000

na uafisa elimu wilaya ni 5,000,000

kama unategemea utateuliwa kwa utendaji kazi tu bila kupambania hizo nafasi utapata ukiwa na miaka 54.

JIONGEZE, baada ya kuupata utaanza kuupondea ingawa wadau wanakuchora tu
 
Na huu ndiyo ukweli mchungu. Hizi nafasi zinatoka kimagumashi sana! Kujuana kwingi na janja janja za kutosha sana ndipo upate.

Usipokuwa na mtandao, utapiga chaki mpaka ushikwe na TB! Hakuna atakaye kuona. Mbaya zaidi hao wanao honga ili kupata hizo nafasi, baadhi yao hawana hata sifa za uongozi. Zaidi tu ya ukuda mwingi kwa walimu wenzao, majivuno, vitisho na kujipendekeza kwa wakubwa zao.
 
Connection zikoje
 
hizo zinateuliwa, na ili uteuliwe lazima ufike bei elekezi au uwe na mkubwa mwenye uwezo wa kumkolomea mkurugenzi.

ukuu wa shule ya msingi kianzio 800,000
sekondari 1,000,000
umek 1,000,000
utaaluma, vifaa na makolokolo yote 3,000,000

na uafisa elimu wilaya ni 5,000,000

kama unategemea utateuliwa kwa utendaji kazi tu bila kupambania hizo nafasi utapata ukiwa na miaka 54.

JIONGEZE, baada ya kuupata utaanza kuupondea ingawa wadau wanakuchora tu
Ukweli mtupu na connection zikoje
 
Back
Top Bottom