Karibu ndugu, Tunatoa kozi ya Wizara ya Afya ambayo ni ya maabara kwa ngazi ya Certificate na Diploma na pia tunatoa Kozi ya VETA ya Laboratory Assistants kwa ngazi ya Certificate. Ila kwa sasa dirisha la kozi ya Wizara limefungwa imebakia hiyo ya VETA ambayo intake yake ni ya Januari