Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu ndugu, Tunatoa kozi ya Wizara ya Afya ambayo ni ya maabara kwa ngazi ya Certificate na Diploma na pia tunatoa Kozi ya VETA ya Laboratory Assistants kwa ngazi ya Certificate. Ila kwa sasa dirisha la kozi ya Wizara limefungwa imebakia hiyo ya VETA ambayo intake yake ni ya JanuariMbona hujaweka picha za majengo ya chuo? Halafu ina maana kozi mnatoa moja tu ya maabara?