Nafasi za Masomo Kigoma mjini

Nafasi za Masomo Kigoma mjini

s8plus

Member
Joined
Aug 14, 2017
Posts
74
Reaction score
25
Karibuni
POSTER%20LAB%20ATTENDANTf.jpg
 
Mbona hujaweka picha za majengo ya chuo? Halafu ina maana kozi mnatoa moja tu ya maabara?
 
Mbona hujaweka picha za majengo ya chuo? Halafu ina maana kozi mnatoa moja tu ya maabara?
Karibu ndugu, Tunatoa kozi ya Wizara ya Afya ambayo ni ya maabara kwa ngazi ya Certificate na Diploma na pia tunatoa Kozi ya VETA ya Laboratory Assistants kwa ngazi ya Certificate. Ila kwa sasa dirisha la kozi ya Wizara limefungwa imebakia hiyo ya VETA ambayo intake yake ni ya Januari
 
Back
Top Bottom