Pre GE2025 Nafasi za wabunge 19 zingekuwa za wanaume CHADEMA isingepeleka watu? Wangefukuzwa kama ilivyokuwa kwa kina Mdee?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

1737702158463.png

Nimeangalia tu kwa angle nyingine, nafasi zile 19 ingekuwa ni kwaajili ya wanaume, unadhani wasingeenga wakamdindishia anko Magu? Wakina Halima huenda walikosea kwa kwenda wenyewe bila idhini ya chama (kama wanavyotuambia kuwa hawakurusiwa), lakini katika kipindi kile ambacho hakukuwa na mbunge hata mmoja walikuwa na chance ya kukaa pamoja na kupeleka wanawake wake kimkakati kwa maslahi yao wakaweka mpango wa kuja na comeback kipindi hiki?

Kupata taarifa na matukio kuelekea uchaguzi mkuu 2025 kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Nakwambia nafasi hizi zingekuwa za wanaume ingetafutwa justification tu ya kwanini wanapaswa kuwepo bungeni ili kuhakikisha sauti ya upinzani inasikika. Mbowe angechagua wenzake fasta hata wasingejali kelele za watu, yaani hii vuta n' kuvute ya toka 2020 wala isingekuwepo na wangekua wanajitapa kwa kufanya kazi nzuri ya kuwahenyesha bungeni.

Soma Pia kwa taarifa zaidi zinazowahusu wanawake kipindi hichi cha uchaguzi: Kipindi hiki cha Uchaguzi wanawake wanapata nafasi ya kutosha kushiriki kwenye masuala ya uchaguzi?

Sasa kwanini imekua shida sana kwa akina Halima? Kwasababu nafasi hazikuweka direct ulaji kwao?

Ukija na povu hakikisha ni kali kweli kweli tuna nguo nyingi za kusafisha kabla hatujaenda wikend:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh:
 
Nimesoma kichwa tu Mkuu, content Hapana, niko hapa nawaza Mbowe alikuwa anaendesha Chama au Mchepuko wake? Account ya chama inakosaje 100m?
Ungeweza kukaa kimya tu kama huna uwezo wa kuchangia kuliko kuonesha weupe uko nao.... hata hiko unawaza utaishia hapo hapo kwenye hiko kikombe umeweka :BearLaugh: :BearLaugh:
 
Kama hakuna wenye weledi wa kutosha na wenye utayari wafanyaje?
Wajengewe uwezo.... recruit more wenye uwezo kuimarisha chama.... usiniambia kuwa hii ndio sababu Mkuu. Tukirudi kwenye mada, ingekuwa ni safasi za wanaume wasingepeleka watu?
 
Ungeweza kukaa kimya tu kama huna uwezo wa kuchangia kuliko kuonesha weupe uko nao.... hata hiko unawaza utaishia hapo hapo kwenye hiko kikombe umeweka :BearLaugh: :BearLaugh:

Of course Andiko lako ni la kipumbavu; hapo Sijatoka!
 
Wajengewe uwezo.... recruit more wenye uwezo kuimarisha chama.... usiniambia kuwa hii ndio sababu Mkuu. Tukirudi kwenye mada, ingekuwa ni safasi za wanaume wasingepeleka watu?
Wanaume wana utayari na wapo mstari wa mbele kwenye mengi, hao ambao kidogo walikuwa vizuri ndio hao wasaliti.
 
Wakuu,

Nimeangalia tu kwa angle nyingine, nafasi zile 19 ingekuwa ni kwaajili ya wanaume, unadhani wasingeenga wakamdindishia anko Magu? Wakina Halima huenda walikosea kwa kwenda wenyewe bila idhini ya chama (kama wanavyotuambia kuwa hawakurusiwa), lakini katika kipindi kile ambacho hakukuwa na mbunge hata mmoja walikuwa na chance ya kukaa pamoja na kupeleka wanawake wake kimkakati kwa maslahi yao wakaweka mpango wa kuja na comeback kipindi hiki?

Nakwambia nafasi hizi zingekuwa za wanaume ingetafutwa justification tu ya kwanini wanapaswa kuwepo bungeni ili kuhakikisha sauti ya upinzani inasikika. Mbowe angechagua wenzake fasta hata wasingejali kelele za watu, yaani hii vuta n' kuvute ya toka 2020 wala isingekuwepo na wangekua wanajitapa kwa kufanya kazi nzuri ya kuwahenyesha bungeni.

Sasa kwanini imekua shida sana kwa akina Halima? Kwasababu nafasi hazikuweka direct ulaji kwao?

Ukija na povu hakikisha ni kali kweli kweli tuna nguo nyingi za kusafisha kabla hatujaenda wikend:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh:

Isingekuwa...........
Ingekuwaje..........
Kama...........
Au labda...........
Pengine.............

None sense
 
Huyu mwanamke kaja hili jukwaa kufanyaje? Nani kamruhusu huyu kuja kuandika utumbo mbele ya wanaume? Hii inawezekane hii?

Alitakiwa awe jikoni anapika akimaliza kupika afue boksa za mumewe akimaliza ampe mumewe kitumbua ndo kazi yake kuu.
 
Umejaribu ku-sound different, umeishia ku-prove, you women, you belong to kitchen! Baaaasi!
:BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: wacha weee.... kwa hii comment inaonesha u were born kuwa kwa kitchen kabisa! Poda kabisa kichwani!

Haya turudi kwenye mada na ujike hapo Mkuu
 
Huyu mwanamke kaja hili jukwaa kufanyaje? Nani kamruhusu huyu kuja kuandika utumbo mbele ya wanaume? Hii inawezekane hii?

Alitakiwa awe jikoni anapika akimaliza kupika afue boksa za mumewe akimaliza ampe mumewe kitumbua ndo kazi yake kuu.
Mada ni nzito kiasi hicho mpaka inawatoa kamasi Wakuu?:BearLaugh::BearLaugh::KEKWlaugh:

Turudi kwenye mada basi🌚🌚🌚
 
Isingekuwa...........
Ingekuwaje..........
Kama...........
Au labda...........
Pengine.............

None sense
Baada ya kuweka nonsense zako Mkuu, sasa turudi kwenye mada
 
Back
Top Bottom