Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 7,621
- 12,505
INGEKUWAJE kama Shetani ANGE mrubuni mwanaume Adam pale bustani ya EdenBaada ya kuweka nonsense zako Mkuu, sasa turudi kwenye mada
Undhani Adam angechomoa na hadi leo hii binadamu tungekua tunakula bata tu?
Je shuluba zote hizi tunapata ni kwasababu Shetani alimrubuni mwanamke kwasababu ni MDHAIFU?