Pre GE2025 Nafasi za wabunge 19 zingekuwa za wanaume CHADEMA isingepeleka watu? Wangefukuzwa kama ilivyokuwa kwa kina Mdee?

Pre GE2025 Nafasi za wabunge 19 zingekuwa za wanaume CHADEMA isingepeleka watu? Wangefukuzwa kama ilivyokuwa kwa kina Mdee?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Baada ya kuweka nonsense zako Mkuu, sasa turudi kwenye mada
INGEKUWAJE kama Shetani ANGE mrubuni mwanaume Adam pale bustani ya Eden
Undhani Adam angechomoa na hadi leo hii binadamu tungekua tunakula bata tu?
Je shuluba zote hizi tunapata ni kwasababu Shetani alimrubuni mwanamke kwasababu ni MDHAIFU?
 
Mkuu kanywe maji kwanza utoe moshi afu ndio uje kuchangia mada :BearLaugh: :BearLaugh:
 
:BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: wacha weee.... kwa hii comment inaonesha u were born kuwa kwa kitchen kabisa! Poda kabisa kichwani!

Haya turudi kwenye mada na ujike hapo Mkuu
Wanaume siyo kundi maalum, hivyo, hizo fikira zako hazina maana yoyote. UTOPIAN!

Hata ingetokea, hao wanaume wenyewe, kabla ya maamuzi ya chama, wasingekwenda.
 
Back
Top Bottom