Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Nimeangalia tu kwa angle nyingine, nafasi zile 19 ingekuwa ni kwaajili ya wanaume, unadhani wasingeenga wakamdindishia anko Magu? Wakina Halima huenda walikosea kwa kwenda wenyewe bila idhini ya chama (kama wanavyotuambia kuwa hawakurusiwa), lakini katika kipindi kile ambacho hakukuwa na mbunge hata mmoja walikuwa na chance ya kukaa pamoja na kupeleka wanawake wake kimkakati kwa maslahi yao wakaweka mpango wa kuja na comeback kipindi hiki?
Kupata taarifa na matukio kuelekea uchaguzi mkuu 2025 kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Nakwambia nafasi hizi zingekuwa za wanaume ingetafutwa justification tu ya kwanini wanapaswa kuwepo bungeni ili kuhakikisha sauti ya upinzani inasikika. Mbowe angechagua wenzake fasta hata wasingejali kelele za watu, yaani hii vuta n' kuvute ya toka 2020 wala isingekuwepo na wangekua wanajitapa kwa kufanya kazi nzuri ya kuwahenyesha bungeni.
Soma Pia kwa taarifa zaidi zinazowahusu wanawake kipindi hichi cha uchaguzi: Kipindi hiki cha Uchaguzi wanawake wanapata nafasi ya kutosha kushiriki kwenye masuala ya uchaguzi?
Sasa kwanini imekua shida sana kwa akina Halima? Kwasababu nafasi hazikuweka direct ulaji kwao?
Ukija na povu hakikisha ni kali kweli kweli tuna nguo nyingi za kusafisha kabla hatujaenda wikend