INGEKUWAJE kama Shetani ANGE mrubuni mwanaume Adam pale bustani ya Eden
Undhani Adam angechomoa na hadi leo hii binadamu tungekua tunakula bata tu?
Je shuluba zote hizi tunapata ni kwasababu Shetani alimrubuni mwanamke kwasababu ni MDHAIFU?