Why is there such a lack of transparency in disclosing the identities of the perpetrators?Kwa wale mlio Idara, angalieni mtu flani ambaye amepanda cheo hapo idarani ambaye kimsingi hakustahili ila hamuelewi kafikaje. Yeye ndo daraja la “wasiojulikana”. Kuwarahisishia - ana taaluma (ya kubumba) ya Sheria.
Kuna ulinzi wa taarifa za maafisa usalama. Hata Marekani kuna sheria. Ila kwa walio huko washajua nani anasemwa hapa na wanajua cha kufanya.Why is there such a lack of transparency in disclosing the identities of the perpetrators?
Kwa hio huyo na Mwafwele nani mtekaji kiongozi?Kuna ulinzi wa taarifa za maafisa usalama. Hata Marekani kuna sheria. Ila kwa walio huko washajua nani anasemwa hapa na wanajua cha kufanya.
Hadi wanaona naandika hivyo, details zinawatosha sana na wanajua najua wana uwezo wa kufanya mabadiliko haraka kuepusha balaa kubwa zaidi mbele