Nafazi za kazi ukanda wa Gaza

Una taka waarabu waku tafutie sababu, UTA onekana Kama ni black America 🤣😂😂.
👉Shaba za kutosha😂🤣
Mwaarabu mtu wa peke sana duniani, yaani ye akiona mbele mtu tofauti na yeye tu bhas anachojua ni kukumiminia risasi au akikushika akukate kichwa😂😂
 
Mpka jana walikufa wafanyakazi 11 wa UN.
Juzi wale msalaba mwekundu wa waarab yaani mwezi mwekundu au red crescent wamepigwa risasi live wamekufa wanne.
Halafu wewe unaenda kufanya kazi ktk mazingira hayo.
Aisee hapana.
Labda hali itulie kwanza.
 
Khaaa nenda mwenyewe na ndugu zako[emoji2]ina maana ukoo wako wote wana ajira?si uchukue majobless kwenye clan yenu uende nao[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Khaaa nenda mwenyewe na ndugu zako[emoji2]ina maana ukoo wako wote wana ajira?si uchukue majobless kwenye clan yenu uende nao[emoji2][emoji2][emoji2]
Kizuri share na ndugu,jamaa, na marafiki zako

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
Tusubiri kwanza Israel itembeze kichapo, ukijipeleka kwa njaa zako na wewe humo humo utaliwa, sasa hivi wakimbizi wamefika 250,000 inatakiwa Misri iwahurumie na kufungua mpaka wakimbilie huko, si ni Waarabu wao na wote dini moja?
Wewe unaweza kuruhusu kukaribisha watu waje kuishi nyumbani kwako bila kufata taratibu ,mfano bila kumtambulisha mgeniKwenye serikali Yako. Ya mtaa ,.....akija kukusumbua badae na kusema hapo unapoishi sasa ni kwake , utafanyaje? Na ndivyo ilivo Kwa misri hawezi kupokea wakimbizi ( waasi)kiholela baadaye waanze kungangania ardhi Yao na kusema hapo ni kwao .....na kuwasabishia vita badae!!wameona mbali misri iyo ni risk kubwa itakayowaharibia amani ya nchi!!!!
 

Si wote wanajiita ndugu kwenye dini na wote ni waarabu..........
 
Hatari sana siendi hata nikipewa billion moja
Mbona hata majambazi wakivamia kwako Nina Imani utatunguliza mwanao wa kike na mkeo wapambane ama wewe Ni mwanamke unayeongea hivi.

Yaani wewe Kama Kuna Vita utaona POA tu mwanao,mkeo na mama mzazi wakifanyiwa unyanyasaji wa kingono kimabavu mbele yako.
Don't afraid with death since death and tax are only certainty on this Earth.
Kufa hata kuteleza bafuni unaweza ukateleza na ukafa,hata kwa ajali,hata ukalala pasipo ugonjwa ukafa,hata jambazi akarusha risasi ikakupitia,

Sijawahi ona mtu anaogopa kifo utadhani ataishi milele
 
Mbn essay kwan kuna kuishi mileke, chaguo ni lako go or not
Nenda
 
Mbona nikijaribu kutuma CV inagoma tatizo nini?tunaomba IDF waachie mfumo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…