Hii ishu kuna mdau humu anaitwa ETWEGE aliisema Kipindi cha nyuma tena precisely kabisa Kwa uwazi kuwa Nchimbi ataondoka kama alivyoondoka Gachagua wa Kenya...
Hii inaashiria ccm kwenyewe kunamvurugano yaani hawaelewani ndiyo maana taarifa zinavuja kiurahis.Wapenda haki ndiyo muda mzuri wa kukinukisha ili kufanikisha ukombozi wa tanganyika