macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Tatizo la sisi watanzania ni kukimbilia kupiga domo badala ya kutafakari. Uswahili wa pwani umetulemeza sana. Matatizo ya Nchimbi na Samia yalikolea siku nyingi na wengi walijua mambo hayako sawa. Yaani nchi tulivyokuwa mazuzu kuna wengi tu hawakujua ''kusoma'' ni nini kilitokea kwenye kikao cha Zenji, kilichomkangaa Nchimbi. Gazeti la African confidential liliandika pia kama lilivyondika Polepole alikufa kwa majeraha aliyopata. Mambo yalikuwa wazi kabisa ni sisi wabongo tu wavivu kushughulisha vichwa vyetu,Hii ishu kuna mdau humu anaitwa ETWEGE aliisema Kipindi cha nyuma tena precisely kabisa Kwa uwazi kuwa Nchimbi ataondoka kama alivyoondoka Gachagua wa Kenya...