Nafikiri Britanicca apewe maua yake, ni jana tu alitusogezea code na leo imeji-crack yenyewe

Taarifa zake zote zina usahihi sema hizo ambazo zinakuwa hazijatimia basi jua wahusika wanakuwa wamebadili GIA angani ila nyingine inakuwa ngumu kubadilisha coz zinakuwa zishavuka level ya mwisho.

Nakumbuka kuhusu Bashite kupewa Sumu na pia Bashite akaja kukiri hadharani kwamba alilishwa sumu.

Usalama wa Polepole.

Uteuzi wa Mawaziri kwa majina.
 
Pia Kutafutwa kwa maxence hapo ofis za jamii forums.

Jamaa yuko vizuri
 
Binafsi namwona kama mtu anaye tumika na serekali kuwaandaa kisaikolojia watz. He's gained trust
 
Back
Top Bottom