Nafikiri hii ndiyo sababu ya matajiri kuitwa katili wasiyo na utu

Nafikiri hii ndiyo sababu ya matajiri kuitwa katili wasiyo na utu

Brother hapo ndo mahala unapopata ridhiki yako,usikubali mtu yeyote apachezee kwa namna yeyote ile,ikitokea umeishiwa huyo kijana hutakaa umuone hapo,Kuna watu ni ma agent wa shetani sisemi kuwa dogo ni agent,ila kaa nae kwa umakini watu wengine wanatumika kukuangusha pasipo wao wenyewe kujua hilo,kuwa makini ndg.
ridhiki = riziki
 
fukuza kazi pumbavu huyo, hana kheri, tena mfukuze kabla hata ya Eid ili apate akili kidogo
 
Back
Top Bottom