Nafikiri kati ya mwaka 2005- 2013 ni wakati ambao ulikuwa mgumu kwa wasanii wa muziki Tanzania

Nafikiri kati ya mwaka 2005- 2013 ni wakati ambao ulikuwa mgumu kwa wasanii wa muziki Tanzania

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,849
Reaction score
3,506
Ni wakati ambao wasanii tena hawakutegemea hard copies ili kuuza albamu, kaseti zilikuwa zimepigwa chini, Computer zimeingia mtaani watu wana bani CD tu. Yani muziki wa bongo ulikuwa katika dillema, yani jamaa walibaki kama show off tu

Ni wakati ambo wasanii waliingia kwenye game kipindi hicho walitoka kapa na wengi wao hadi sasa maisha yao sio mazuri financially.

Huu ni wakati tulipata vipaji vingi na magoma makali sana ya kizazi kipya cha bongo flava ambayo ililetwa na kaka zao wakina kiroboto na sykes.

Vijana tuliopata muda huo ni wakina
J.Anthony, Jay l, Pasha, Dullayo, pnc, na wengine wengi
 
Back
Top Bottom