Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
- Thread starter
- #201
Aisee ndio hivyo senior.Mkuu ni kweli unacho kisema vifaavya ujenzi vimepanda bei sana Mfuko wa mmoja wa Cement ni shilingi 17,000 Boksi moja la Tairs ni shilingi 30,000 bado ubebaji. Mchanga gari dogo la bajaji ni shilingi 35,000 Mimi nimetengeneza Milango 2 kwa gharama ya shilingi Milioni moja pamoja na uwekaji na gharama za fundi. Angalia video yangu hiyo hapo chini.
View attachment 2906516
Mlango mmoja huo umesha kuwa teyari umekamilika .
View attachment 2906517
Milango ya banda langu hilo limekamilika Limenigharimu kutengeneza hilo banda lenye vyumba 2 pamoja na choo na kuweka umeme na maji karibu Shilingi Milioini 10. Bado kujenga kiwanja cha mbele.Kweli kujenga wakati huu unatakiwa uwe na kiasi cha shilingi Milioini 60 ndio utaweza kujenga nyumba pasipo na hiyo pesa sio rahisi kujenga nyumba.
View attachment 2906518
mlango mmoja tu pamoja na gharama za kuweka umenigharibu shilingi laki 5.
View attachment 2906520
jumla ni milango 2 kwa gharama ya shilingi Milioni 1 haya vijana munaotaka kujenga nyumba jipangeni kipesa kila kitu kimekuwa ni ghali sana nyumba yangu hiyo ipo kigamboni jijini Dar anayetaka kupangisha anione kwa wakati wake ingawa bado kupaka rangi nje na chumba kimoja kumaliza kukweka Tairs na kuweka hapo nje kibaraza. Lakini akitokea mtu anataka kupanga nipo teyari kumpangisha .
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app