Nafikiri kijana anayejenga katika usawa huu anatakiwa apewe heshima yake

Nafikiri kijana anayejenga katika usawa huu anatakiwa apewe heshima yake

Hiyo nyumba yako ni ya ukubwa gani igharimu tiles mil 14 bei ya tiles ni hizo nimeweka hqpo sasa ebu tupe majibu mqqnq wengine mnakuja humu kubrag wakati hamjawahi hata kumiliki banda la kuku
Kulikuwa kuna ulazima gani wa kunishutumu Mkuu??

Kwa kukusaidia tu tiles zangu kuanzia size mpaka bei hakuna hapo kwenye bandiko lako..
 
Jamaa atakuwa hajui kwamba tiles zako umezichukulia ABC EMPORIO 😄
na hapa ndo kuna shida. mtu anachukua kigae cha spain... wakati mwingine anachukua cha mchina buguruni...

Ni kweli hiyo million 50 inaweza kujenga nyumba. lakini pia, hiyo hiyo inaweza isitoshe kwa kununua vigae tuu!

Unaona Masaki studio ya chumba kimoja ni dola 1000! wakati nyumba kubwa ya familia huko Mwanagati ni 100,000.

Tujifunze differentiation katika maisha. siku zote uchumi ndo unaamua wewe uko kwenye daraja gani.
 
Hapa hatuongelei habari ya kigae cha spain..tunaongea general, watanzania wangapi wakununua icho kigae?? So 50mil ni pesa inayotosha kujenga na hata kununua nyumba ya familia tena dar so hayo mengine ni ziada.
 
Kuna mtu ukimwambia umeweka tiles 14ml anakuona labda wewe ni mwehu kumbe ni upumbavu wake wa kukosa exposure.

Hahahaha

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Hata siku moja usijisifie kulipia finishing ya bei kubwa kwamba ndo umepata kitu kizur kwa experience yangu watu wanapingwa sana kwny ujenzi kwa sababu hawataki kuelewa kile kinachofanyika kwny nyumba yake
na fundi akikuona ww ni lame anakupiga na kitu kizito balaa. watu wengi wanalizwa sana na asilimia kubwa wengi wanalipia mara 2 ya gharama ambazo hakustahili kulipia

ukijenga elewa bei la soko likoje tiles bei zake zinauzwaje kwa ubora gani fuatilia sehemu mbalimbali. uliza garama za ujenzi kwa mafundi wa 3 au 4 tofauti upate ovaral market price. kabla hujampa fundi kazi hakikisha una bei yako kichwani. ambayo ni realistic katika negotiations itakusaidia sana
 
Safi sana kwa maelezo..aisee kuna vitu vya kuspend pesa kwenye finishing lakini suala la tiles kuna option nyingi sana na nzuri kwa bei nafuu
 
ile nyumba hata mil 300 haifiki ghorofa lenyew kwa haraka haraka hata Square meter 1000 halina yani watu wanaongeaga tu hawajui kuna wataalamu wa maswala ya ujenzi na makadirio wamekaa tu wanawaangalia wanavyoropoka
Wakati mil600 unapata full furnished apatment oysterbay 3rooms 3bath na balcony seaview
 
Jf wote madon ooh!! 🤣🤣
Ila wazingatie spaaaaaace
Mpiji zamani yalikuwa mashamba, ss hivi watu wanajenga..!! Ardhi ni asset nzuri sana.
Hio kauli ya kusema JF wote madon sio nzuri, umewahi kusoma comment ya Kila mmoja humu? Hujaona Uzi wa jobless kule, watu tunatafuta vibarua hata vya sh 5000 kwa siku na hatupati.
 
Back
Top Bottom