FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,169
- 13,455
Kulikuwa kuna ulazima gani wa kunishutumu Mkuu??Hiyo nyumba yako ni ya ukubwa gani igharimu tiles mil 14 bei ya tiles ni hizo nimeweka hqpo sasa ebu tupe majibu mqqnq wengine mnakuja humu kubrag wakati hamjawahi hata kumiliki banda la kuku
Kwa kukusaidia tu tiles zangu kuanzia size mpaka bei hakuna hapo kwenye bandiko lako..