Nafikiri kijana anayejenga katika usawa huu anatakiwa apewe heshima yake

Nafikiri kijana anayejenga katika usawa huu anatakiwa apewe heshima yake

Ml 50 unajenga nyumba nzuri tu pumba kweli wewe nyumba isimamie mwenyewe kia kitu ubahili mwingi tu mazee
 
Sio poa usione vyaelea hapo unaona kawaida ila unaweza kukuta 20 M
 
Attachments

  • DECEB094-941A-4E99-B386-A245FEA782EC.jpeg
    DECEB094-941A-4E99-B386-A245FEA782EC.jpeg
    857.3 KB · Views: 15
Achen kutudanganya jaman au ndo mnatuogopesha ambaohatujajenga ml 50 ni nyumba na sio chumba hata kama ni wap. Sisi ma structure eng tunajua
50M ni unapata pagale ambalo halina finishing ya kueleweka ila unaweza ukakaa.. Hapo namaanisha vitu vote via msingi vinavyotakiwa ndani ya nyumba kama plumbing system, wiring system, tiles, aluminium windows, kitchen cabinets havipoo
 
Mkuu,
Mi nna biashara ya hardware,kwangu nmejenga na kila mwaka uwa najenga nyumba za kupangisha, nna uzoefu Sana na ujenzi, Watu waache kukuza haya Mambo.

Ujenzi sio mgumu kiivyo
Sasa wewe si unasema kutetea biashara yako isikose wateja.

Sawa wewe unajenga kiła mwaka, Je hizo gharama za materials wewe unavyozinunua zinafanana na mtu wa kawaida ambaye sio mmiliki wa hardware?
 
50M ni unapata pagale ambalo halina finishing ya kueleweka ila unaweza ukakaa.. Hapo namaanisha vitu vote via msingi vinavyotakiwa ndani ya nyumba kama plumbing system, wiring system, tiles, aluminium windows, kitchen cabinets havipoo
Ingia jiji utakuta nyumba kali zinauzwa chini ya mil50..au kujenga ni ushujaa?
 
50M ni unapata pagale ambalo halina finishing ya kueleweka ila unaweza ukakaa.. Hapo namaanisha vitu vote via msingi vinavyotakiwa ndani ya nyumba kama plumbing system, wiring system, tiles, aluminium windows, kitchen cabinets havipoo
Nimetoka kufanya finishing January hii.. Tiles tu pekee zimenila 14M
Hiyo nyumba yako ni ya ukubwa gani igharimu tiles mil 14 bei ya tiles ni hizo nimeweka hqpo sasa ebu tupe majibu mqqnq wengine mnakuja humu kubrag wakati hamjawahi hata kumiliki banda la kuku
 
Attachments

  • Screenshot_20240204-095312_Facebook.jpg
    Screenshot_20240204-095312_Facebook.jpg
    154.5 KB · Views: 20
Back
Top Bottom